Home
Videos uploaded by user “AFROACCESS”
Sana ft. Juacali (Baba Yao) - Geti Kali (Official Video)
 
04:23
Sana ft. Juacali (Baba Yao) - Geti Kali http://www.facebook.com/beatyaclemo Buy Calif t-shirts, visit http://www.califmobile.com GETI KALI LYRICS Hey ya Hey ya ya ya ya ya Juacali, you must be joking Hey ya Mtoto wa geti kali mimi Huwezi kunifaidi baby Ikiwa wanimindy kweli Basi hakikisha una mali Eti wataka nikufuate wapi? Eti twende huko nyuma ya calif? Yaonekana hatuelewani Mpaka uhakikishe una mali Ii ii yeah Hey yea yea yea yea VERSE 1 Wasema wanipenda Na wataka tuwe sote siku zote za calender Lakini tutateta Maanake pale niko mi sidhani utaweza Nimezoea kupewa chochote nitakacho wakati ninaposema Usihisi pressure Lakini afadhali nikwambie na mapema Ya kuwa siezi kuomba(aah aah ah ah yeah) Na kuwa sipendi kukopa(aah aah ah ah yeah) Na sitojiseti kusota(aah aah ah ah yeah) Usiseme mi sikukuonya aah ah ya kwamba CHORUS Mtoto wa geti kali mimi Huwezi kunifaidi baby Ikiwa wanimindy kweli Basi hakikisha una mali Eti wataka nikufuate wapi? Eti twende huko nyuma ya calif? Yaonekana hatuelewani Mpaka uhakikishe una mali Ii ii yeah hey yea yea yea yea VERSE 2 We waona najijenga Hadi watu wanasema cheki dame amejibeba So nikipi kipya ambacho utanipa na mimi siezi jipa Sia ati nakutesa(no) Ni hali ya maisha(so) Ndugu yangu makinika Naona afadhali nikwambie na mapema Ya kuwa siezi kuomba(aah aah ah ah yeah) Na kuwa sipendi kukopa(aah aah ah ah yeah) Na sitojiseti kusota(aah aah ah ah yeah) Usiseme mi sikukuonya aah ah ya kwamba CHORUS Mtoto wa geti kali mimi Huwezi kunifaidi baby Ikiwa wanimindy kweli Basi hakikisha una mali Eti wataka nikufuate wapi? Eti twende huko nyuma ya calif? Yaonekana hatuelewani Mpaka uhakikishe una mali Ii ii yeah hey yea yea yea yea (Juacali) mtoto mrembo, mtoto wa geti kali toka uko juu ukuje utulie na Juacali najua kwenu mko sawa mkona mali lakini kuja nikuonyeshe yangu ya mtaani wacha gari leo panda matatu jua imewaka ntakuchukulia barafu ya ukwaju lunch ya nguvu bakuli ya supu dessert ya leo mahindi na njugu saucer ya nguvu juo moja wazimu baadaye utamaliza na uji ya ndimu hakuna kebab hapa piga dondo hakuna pizza hapa piga muhogo usione haya kuteuka ni kawaida wacha tutie raundi mtaani tukishikisha hii ndo base si hutulia pale ndo grao ball si hugusia majioni movie pale ni mbao lazima tuwe na za juu tukitokewa na karao mtoto wa geti kali sikutishi hivi ndio vile mtaani si huishi CHORUS Mtoto wa geti kali mimi Huwezi kunifaidi baby Ikiwa wanimindy kweli Basi hakikisha una mali Eti wataka nikufuate wapi? Eti twende huko nyuma ya calif? Yaonekana hatuelewani Mpaka uhakikishe una mali Ii ii yeah hey yea yea yea
Views: 340817 AFROACCESS
MEJJA - OVER MY EX (Official Video) [Skiza 8540181 ]
 
04:46
Send 'Skiza 8540181 ' to 811 (Safaricom Kenya) Mejja - Over My Ex... Produced by Clemo, Directed by Charles Luche http://www.facebook.com/beatyaclemo http://www.facebook.com/mejjaokonkwo
Views: 176923 AFROACCESS
Flexx   -Number Yako (Official Video)
 
03:44
Flexx Number Yako Beat ya Clemo Dir: Charles Luche LUCH PRODUCTION
Views: 133311 AFROACCESS
Madtraxx Mejja - Twenzetu (Official video) [Skiza 8540176 ]
 
03:33
Send 'Skiza 8540176 ' to 811 (Safaricom Kenya) Mejja Madtraxx - Twenzetu (Official video) Video Directed by Enos Olik CJP Films 2013 Red Republik and Calif Records 2013
Views: 187475 AFROACCESS
JUACALI - BABA YAO (Official Video)
 
04:22
Juacali - Baba Yao Beat ya Clemo Directed & Animated by Charles Luche LUCH PRODUCTION 3D BABA YAO LYRICS Chorus : Hauezi nieka chini, me ni baba yao me ni baba yao Hauezi nieka chini me ni baba yao me ni baba yao Hauezi nieka chini me ni baba yao me ni baba yao Verse 1 Chini ya maji naona wakininyemelea Na roho zao mbaya nazimesea Walichukua vako yangu wakapotea nayo Saa hii wanataka kuchukua jina yangu wapote nayo Haiwezekani kabisa watu wangu Kwani hamuoni bado napumua hewa yangu Niliamua kuchukua break kidogo Saa hii wanapiga kelele wakispread uongo Wanajaribu kunieka chini nainuka Wanajaribu kunipiga mpini naziskuma Wanachora picha mbaya haina noma Baadaye watajua nani anasonga Chorus : Hauezi nieka chini, me ni baba yao me ni baba yao Hauezi nieka chini me ni baba yao me ni baba yao Hauezi nieka chini me ni baba yao me ni baba yao Verse 2 Hii kitu nimepewa na Mungu huezi ninyanganya Ma Fans wangu sugu huezi wadanganya Tumekua hapa zaidi ya miaka kumi Nadhani saa hii mnajua hizo matusi zenyu hazitusumbui Mwenye nguvu chali yangu mpishe Compe ni compe yule noma ashinde Msanii usitegeme sana watu wa *%$# Chali yangu hivi karibuni watakukimbia Wachore mtu wangu jisaidie Watoke mtu wangu jismamie Wanakueka chini ndio hao wafeel wako juu Baadaye waonyeshe nani yuko juu Chorus : Hauezi nieka chini, me ni baba yao me ni baba yao Hauezi nieka chini me ni baba yao me ni baba yao Hauezi nieka chini me ni baba yao me ni baba yao Verse 3 Kila siku kazi yangu imekua mistari Kila siku kazi yao imekua utiaji Nimedumu kwa industry nipe heshima yangu Nahustle ndio uzeeni nikule bidii yangu Unataka nisote mpaka nizimie Ama ma Fans wangu wote wanikimbie Haiwezekani kabisa watu wangu Kwani hauoni namalizia album yangu Utaharibu aje kitu haujatengeneza Ama unajijazia ulisaidia kujenga Tafadhali usifanye nicheke Genge iko hapa mpende msipende Hio ndio kitu me naaminia Na milele me nitasimamia Nikisaidiwa na jeshi mzima Na Fans wangu zaidi ya millioni sita Chorus Hauezi nieka chini, me ni baba yao me ni baba yao Hauezi nieka chini me ni baba yao me ni baba yao Hauezi nieka chini me ni baba yao me ni baba yao Chali yangu uko juu mtu wangu uko juu Usiambiwe na mtu wowote ati uko chini Chali yangu Uko juu We hustle vile unaweza au sio Eeeeeeh Gengeeeee.......
Views: 122879 AFROACCESS
Juacali - Bidii yangu (Official Video)
 
04:15
Juacali - Bidii yangu (Official Video)
Views: 169554 AFROACCESS
Juacali (Baba Yao) ft. Juliani - Si Siri (OFFICIAL VIDEO)
 
04:31
Juacali (Baba Yao) ft. Juliani - Si Siri Beat ya Clemo Dir: Charles Luche / Calif Pictures SI SIRI LYRICS Verse 1: Jua Cali: Mungu mi nashuru pahali umetufikisha na blessings zote umetupatia kufika miaka thirty si mchezo kufika hapa mahali tumefika si mchezo nakumbuka tukifoot mpaka mguu inauma tukikula skuma mpaka tumbo inafura ama tukikaa ubao sababu ngoma imetushika hio ni sauti yangu kwa CD hebu rudia hatuna machine tunalipia studio time Clemo tukona 2HRS ya kurecord wacha ni rhyme hizi vocals zinasound safi time kwisha tunamix hii ngoma mtaani Mungu ametubless tukona keyboard yetu saa hii Ametubless tukona studio yetu saa hii Ametubless tunajisimamia saa hii na Ametubless zaidi na maskio ya watu mtaani we si unajua venye kufurahisha watu ni ngumu kwa hivyo kabla tutoe hii ngoma nashukuru Mungu na familia zetu kutupatia nguvu na kusimama nyuma yetu kwa hii industry sumu tunahustle jamaa chuki ya nini tunajaribu jamaa mangumi ni za nini mapromoter wengine ndio wako na njaa kwanza wa Busia wanavuka boarder ka Jaguar haina noma mi hukumbuka mvumilivu akijiamini sana ye hula mbivu ona saa hii ma corporate wakona sisi ma account zinanyemelea amilli CHORUS LYRICS: Maisha inatubamba si siri eeh si siri maisha inatubamba si siri si siri, si ringi... VERSE 1 LYRICS: Juliani: Chuo tulipata D-, kwa life tulikuwa less God Akatupa B ikawa Blessing jeans buggy marvin walidhani kwa kichwa mavi in tuko rate ya 4.6 shati imelaliwa na crusifix shati imelalia God within hatujavunja law isipokuwa ya gravity tunafly nikaa tuliokota feather moja kwa wing ya angel Gabriel price tag ya mimi, Bill Gates anabargain inatake msalaba, damu stain ipasuke mara mbili curtain sasa sisi saa vipi surplus uwingi cheki kipara akiingia kinyozi ni ka nywele inamea kwa kichwa pekee warembo wanabreath hewa nyingi wana extra rib si excuse niki fail nakam through times two nitahave ku na siachi, ka Agagbo wa Ivory Coast CHORUS LYRICS: Si siri, si ringi... Maisha inatubamba si siri eeh si siri maisha inatubamba si siri si siri, si ringi...
Views: 98072 AFROACCESS
Jua Cali - Karibu Nairobi #BeatYaKeggah (Official Video)
 
03:41
Artist: Jua Cali Title: Karibu Nairobi Director: @vjone Producer: Beat Ya Keggah
Views: 254184 AFROACCESS
JuaCaIi  - Kuna Sheng (Official video)
 
04:17
Produced by Kanyeria | Video by Boomba | ©2013 Calif & Bernsoft To comment click on this link below: https://www.facebook.com/pages/Jua-Cali KUNA SHENG LYRICS Ah! Kanyeria, Juacali ehhhhhh! CHORUS LYRICS: Kuna sheng ya Calif lakini si wote tunaelewana Kuna sheng ya Buru lakini si wote tunaelewana Kuna sheng ya Dandora lakini si wote tunaelewana Kuna sheng ya Okongo lakini si wote tunaelewana VERSE 1 LYRICS: Wagondi siku hizi wanaitwa madingo Kutoka chwa ni kutoka mbio Nikikuitisha ing'ang'a nakuitisha soo moja Nikikuambia nitege nakuambia we ngoja Unashtuka nini wacha kujitisha Kutia blunder nikuji ingiza Nikiongea na wewe poa nakuskiza Kupigwa na makarau ni kuvaliwa Unajaribu kupiga simu nangos haina kitu Chali yangu umechar hauna kitu Baadaye tunakuona umebambwa kwa mbulu Kushare kitu ni sulu bin sulu CHORUS LYRICS: Kuna sheng ya Easich lakini si wote tunaelewana Kuna sheng ya Kibich lakini si wote tunaelewana Kuna sheng ya Emba lakini si wote tunaelewana Kuna sheng ya Marish lakini si wote tunaelewana VERSE 2 LYRICS: Manzi msuper anaitwa mtoto Manzi wa udu nae ni ong'ong'o Ukiachwa mataani umetokwa Kuingiza ma winch mingi nikuomoka Ukiitwa dwanzi nika umeitwa fala Kuvurugwa nikulazimishwa kuhama Kitu noma sana ni mambo mbaya Kwanza ka zile chuja ulikua umevaa jana Kuwa mpole mtu wangu ni sifa tu Nakutoshanisha nakupima tu Punguza caki mzee utafiatuka Kitu inatee ni kitu inanuka CHORUS LYRICS: Kuna sheng ya Ongwaro lakini si wote tunaelewana Kuna sheng ya Pango lakini si wote tunaelewana Kuna sheng ya Salem lakini si wote tunaelewana Kuna sheng ya Ungem lakini si wote tunaelewana VERSE 3 LYRICS: Mungu mtaani si umuita Sir Jah Kutia ndani nikumanga Kuenda shughli nikuenda mraa Nikikutia zii mambo yako nimekata Uko chini chali yangu umechapa Juzi ulikua mtu wa nguvu mtu wa maana Kwani haujui chali yangu hauna copy Nikikwama mahali nika nakuambia sitoki CHORUS LYRICS: Kuna sheng ya Baha lakini si wote tunaelewana Kuna sheng ya Jeri lakini si wote tunaelewana Kuna sheng ya Bangla lakini si wote tunaelewana Kuna sheng ya Korogocho lakini si wote tunaelewana Kuna sheng ya Westi lakini si wote tunaelewana Kuna sheng ya L.A lakini si wote tunaelewana Kuna sheng ya Githurai lakini si wote tunaelewana Kuna sheng ya Mada lakini si wotw tunaelewana Ehhhh Siezi sahau watu wangu wa Eldi Eehhhh Siezi sahau watu wangu wa Nakuru (watu wa nguvu) Eehhhhh Sheng ya Kisumu (ni noma sana) Sheng ya Mombasa (mambo mbaya) Sheng ya Thika (noma sana) eehhh Au sio (au ndio) Ha ha ha ha... Ehhh TUGENGE YAJAYO Kanyeria, Juacali GENGE Au sio...
Views: 154850 AFROACCESS
Wyre featuring JuaCali - Khadija Remix (Official Video)
 
04:31
Wyre featuring Juacali Khadija (REMIX) Lovechild Records / Calif Ent Production: Dillie / Wyre Dir: Thome Boomba Pictures
Views: 192205 AFROACCESS
Mejja feat Bro - Niko Poa. [Skiza 8540182 ]
 
04:12
Send 'Skiza 8540182 ' to 811 (Safaricom Kenya) Mejja feat Bro Niko Poa. Beat ya Clemo Dir: Charles Luche LUCH PRODUCTION
Views: 25889 AFROACCESS
ALA-C - WALKING CLASS (Official Video)
 
04:17
Ala-C - Walking Class.. Produced by Clemo, Directed by Charles Luche http://www.facebook.com/beatyaclemo
Views: 63727 AFROACCESS
Juacali featuring Wazee wa Mji - Kuna Sheng Remix (Official Video)
 
04:02
JUACALI FT WAZEE WA MJI KONKODI, MANCHU, PRIME MC, VIOXI AND VIRUSI - KUNA SHENG REMIX
Views: 24467 AFROACCESS
Q-Tasi feat Mejja - Vunja Shingo (Official Video)
 
05:32
Q-Tasi feat Mejja VUNJA SHINGO Beat ya Clemo Dir: Charles Luche LUCH PRODUCTION
Views: 194015 AFROACCESS
Sana - Najuta.(Official Video)
 
04:16
Sana Najuta. Beat ya Clemo
Views: 38289 AFROACCESS
Mejja ft. Alindi - Furahia (Official Video)
 
05:13
Mejja ft. Alindi Furahia Beat ya Clemo Dir: Charles Luche LUCH PRODUCTION
Views: 44682 AFROACCESS
Ala C ft. Nonini - Walking Class (Remix) [Skiza 8540065]
 
03:41
Send 'Skiza 8540065 ' to 811 (Safaricom Kenya) Ala C ft. Nonini - Walking Class Remix http://www.facebook.com/beatyaclemo
Views: 25434 AFROACCESS
Juacali - kiasi.(Official Video)
 
04:37
Juacali kiasi. Beat ya Clemo Dir: Charles Luche LUCH PRODUCTION
Views: 15657 AFROACCESS
Boomba Clan - Chonga viazi.(Official Video)
 
04:14
Boomba Clan Chonga viazi. Dir: Charles Luche LUCH PRODUCTION
Views: 19017 AFROACCESS
Sana, Rabbit, Jimwat, Juacali, Avril, Marya, Ala C & Alpha Msanii - Change
 
04:15
Transparency International Various Artists (Sana, Rabbit, Jimwat, Juacali, Avril, Marya, Ala C & Alpha Msanii) - Change
Views: 82059 AFROACCESS
SUSUMILA FEAT MEJJA - KIJANA JIPANGE
 
03:52
SUSUMILA ft. MEJJA KIJANA JIPANGE Beat Ya Clemo
Views: 27643 AFROACCESS
Juacali featuring Jovial - Jiachilie (Official video)
 
03:51
Juacali featuring Jovial - Jiachilie Director: Charles Luche/Luch Productions Album: Tugenge Yajayo Producer: Clemo JIACHILIE LYRICS CHORUS: Basi furahia we Tabu shinda tenga mbali nawe*2 Dhiki na simanzi Jirushe nawe upate amani Basi furahia we Tabu shida tenga mbali nawe VERSE 1 Amka wacha kulalia ukuta eeh Hapa tunafurahia atutaki shida eeeh Sijui ulikuja kufanya nini hapa eeh Ka ukona shida zipeleke mbali eeeh Itisha kitu Pewa kitu lewa kitu blackout kitu hivi ndio vile siufanya kila weekendi leo tumetuliz mingi ukua crazy tafuta mtu katia mtu beba mtu skizia mtu asubuhi ikifika ata haujijui vile ulifika kejani ata hautambui leo jioni tuko club ingine tukunywe makali zengine niangukie mtoto mwengine apotezwe apelekwe ile keja ingine ati Mombasa ni mji wa raha me nasema Nairobi ni ya raha tena sana maisha ni moja we tufrahie unangoja nini we Jiachilie CHORUS: Basi furahia we Tabu shinda tenga mbali nawe*2 Dhiki na simanzi Jirushe nawe upate amani Basi furahia we Tabu shida tenga mbali nawe VERSE 2 Ka umelipa rent we tufurahie Ka umeshiba fiti we tufurahie Haujiu neighbour anapitia nini Haujiu alikula mwisho lini Ka roho yako imetulia we tufurahie Ka hauna noma na mtu we tufurahie Haujiu neighbour anapitia stress gani Haujui ameangukia noma gani We chukua ma siku vile zinakuja Nyama onge wiki tunaskuma Mpaka chrissy chapo kuku Sunday best usinimwagie supu Boy wangu anatumana ma kreti Kwa corner watoto shisha wameseti Walafi nao hawatosheki Lazima kadha leo wableki Ka umeamka fiti we tufurahie Ka umedunga fiti we tufurahie Maisha ni moja usijikazie Unangoja nini we Jiachilie CHORUS: Basi furahia we Tabu shinda tenga mbali nawe*2 Dhiki na simanzi Jirushe nawe upate amani Basi furahia we Tabu shida tenga mbali nawe Bernsoft/Calif Records
Views: 30355 AFROACCESS
Pilipili & Jimwat - mpaka che.(Official Video)
 
04:30
Pilipili & Jimwat mpaka che. Beat ya Clemo Dir: Charles Luche LUCH PRODUCTION
Views: 9868 AFROACCESS
Zangi, Pitson & SamuKat - Down on my Knees
 
04:47
Down on my Knees
Views: 11538 AFROACCESS
Juacali - Karibu Nairobi (Lyric-Video)
 
03:33
Artist:Juacali Song:Karibu Nairobi Audio Produced by Keggah This song is dedicated to our beautiful city Nairobi(Nairobbery)
Views: 20430 AFROACCESS
Kendi feat Mejja -  mwanisema
 
04:16
Kendi feat Mejja mwanisema Beat ya Clemo Dir: Charles Luche LUCH PRODUCTION
Views: 11110 AFROACCESS
Ala C - NaMiss Hizo (Official Video HD) [Skiza 8540067]
 
02:31
Send 'Skiza 8540067 ' to 811 (Safaricom Kenya) Ala C Song: NaMiss Hizo Producer: Beat ya Clemo/ Calif Records Director: Charles Luche LUCH PRODUCTION ngomma ngomma ngomma ngomma ngomma ngomma ngomma ngomma ngomma ngomma ngomma ngomma ngomma ngomma ngomma ngomma ngomma ngomma ngomma ngomma ngomma ngomma ngomma ngomma ngomma ngomma ngomma ngomma ngomma ngomma ngomma ngomma ngomma ngomma ngomma ngomma ngomma ngomma ngomma ngomma ngomma ngomma ngomma ngomma ngomma ngomma ngomma ngomma tubonge tubonge tubonge tubonge tubonge tubonge tubonge number one number one number one number one number one
Views: 28640 AFROACCESS
Dazlah - Nitalia (Official video)
 
03:29
Dazlah - Nitalia Audio: Tee Hits Video: Pichamoja Films Executive Producer: Saddam Pichamoja D.O.P: DC Mboss
Views: 44525 AFROACCESS
Zangi  - Sitalia Tena (Official Video)
 
04:25
Zangi Sitalia Tena HERBALIST Dir: Charles Luche LUCH PRODUCTION
Views: 11016 AFROACCESS
JUACALI FT. JULIANI - SI SIRI (Audio-Video)
 
05:00
JUACALI FT. JULIANI SI SIRI Beat ya Clemo Album: Tugenge Yajayo LUCH PRODUCTION
Views: 37247 AFROACCESS
MEJJA MADTRAXX - TWENZETU (2013) [Skiza 8540176 ]
 
03:36
Send 'Skiza 8540176 ' to 811 (Safaricom Kenya) Produced by Kora Mamaz Boi, Calif Records Red Republik
Views: 19748 AFROACCESS
Mejja - Landlord (Official Video)
 
04:33
Mejja Landlord Beat ya Clemo Dir: Charles Luche LUCH PRODUCTION
Views: 9383 AFROACCESS
Mejja, Maddtrax & Jimwat - raundi hii.
 
04:04
Mejja, Maddtrax & Jimwat raundi hii. Beat ya clemo
Views: 10678 AFROACCESS
Vichwani Ft Jimw@t - Tumezubaa (Official Video)
 
03:37
Artist : Vichwani Ft [email protected] Song : Tumezubaa Produced by Clemo Calif Records Video directed by Boomba Pictures
Views: 7279 AFROACCESS
JUACALI - KUKACHORA (Audio Video)
 
03:11
Artist :Juacali Song: Kukachora
Views: 5922 AFROACCESS
JuaCali feat KonKodi, Manchu, Prime Mc, Vioxxi and Virusi - 'KUNA SHENG' REMIX (Audio)
 
05:12
Kuna Sheng Remix is finally out featuring NEW artists repping different hoods of Nairobi. KonKodi ana rep Huruma, Manchu ana rep Jericho, Prime Mc ana rep Umoja, Vioxxi ana rep Dandora na Virusi ana represent Kibera. Production by Kanyeria.Kuna Sheng Remix will also be included in TuGenge Yajayo album. Official release September 12th 2013.
Views: 9923 AFROACCESS
Czars - amka ukatike.(Official Video)
 
05:38
Czars amka ukatike. Beat ya Clemo Dir: Charles Luche LUCH PRODUCTION
Views: 13729 AFROACCESS
JIACHILIE Official Remix
 
03:34
Views: 3859 AFROACCESS
Calvo Mistari & HB - Oweyo Official Video
 
03:34
OWEYO is a feel good song, performed by: Calvo Mistari & HB Audio Produced By: Dillie Video by: Team Mistari in conjunction with Calif Africa.
Views: 13385 AFROACCESS
Juacali - Baba Yao (NEW SINGLE)
 
03:32
Juacali Baba Yao Beat ya Clemo Calif Records/ califmobile.com Released: September 2011
Views: 3292 AFROACCESS
JuaCali - Tunaona Mbali (Audio-Video)
 
04:01
JuaCali - Tunaona Mbali (Audio-Video) Produced by Mandugu Digital TUNAONA MBALI LYRICS Mandugu Digi hii beat noma mzee.... Chorus - Safari tumeshika Vita tumeshinda Yeah Tunaona Mbali Yeah Tunaenda Mbali Yeaaaaah *2 Verse 1 Kichwa yangu iko mbali sana We unafkiria hapa me nafkiria mbali sana We uko juu ya nyumba me niko juu ya ploti We uko juu ya shillingi me niko juu ya noti Za kunisaidia kujitoa kwa shida za dunia najiokoa Nimetulia saa hii naskia poa fikira zote mbaya nimezitoa Niko juu nione nikipaa Wacha kukasirika nika ukona njaa Unakunja uso sana utazeeka Unafura sana utachekwa Maskio zangu zote ziko wazi Macho zangu zote ziko wazi Nangoja kukuona ukitia blunder Nikutoe hapo number moja speedy sana Roho inachafuka we ni mtu wa uivu Wire imetapiwa usionge mbaya kwa simu We tulia uone vile ye ujipa Watu wa mtaani tunaendelea mbele na sifa Chorus - Safari tumeshika Vita tumeshinda Yeah Tunaona Mbali Yeah Tunaenda Mbali Yeaaaaah *2 Verse 2 Kichwa yangu iko mbali sana Ka mbali na mimi nachoma ka jua ya saa saba Nipe yangu ama nitaichukua na lazima Jina inaivaa bado sijashiba Msanii kimbia sioni ka utanifikia Msanii kimbia hii maneno sitaachilia Calif ndio mtaa nilizaliwa Na Calif ndio misuli bado inanishikilia Genge tukailea na saa hii tunawapatia Tukaitetea na saa hii mnaikimbia Mpaka wa leo wanajaribu kunivunja mguu Kitu wamesahau ni confidence iko juu Manzi yangu nikakosana nae Uongo mbili tatu nikaskizana nae Deni nikalipa nusu shingo upande Nikabishana na jamaa nikamkata shingo upande Watu wananiogopa wanasema kichwa imeruka Msiwe na was ngoma zinakuja kuruka Mtego zote mumeweka tunazishtuka Tuko hapa sana hakuna haja ya kushtuka Chorus - Safari tumeshika Vita tumeshinda Yeah Tunaona Mbali Yeah Tunaenda Mbali Yeaaaaah *2 Verse 3 Tutaskuma hii kitu mpaka siku ya mwisho Si ni kina nani na watu washasema ndio Uzee tumeikata kabisa Mvi pia tumezipiga dye kabisa Ona vile inatushika saa hii Hakuna kukasirika watu wanatuskiza saa hii Wametukubali Afrika na dunia nzima Tutawatolea vitu hakuna kupima Chorus - Safari tumeshika Vita tumeshinda Yeah Tunaona Mbali Yeah Tunaenda Mbali Yeaaaaah *4
Views: 27124 AFROACCESS
Betty bayo evidence
 
02:37
Betty
Views: 3543 AFROACCESS
Ethiopian Music - KADIR KOTOLA - Natti Himi
 
05:44
KADIR KOTOLA NATTI HIMI (TELL ME) New Ethiopian Music
Views: 84057 AFROACCESS
Jua Cali ft Wyre - Vile Naskia (Audio Video)
 
04:33
Jua Cali ft Wyre - Vile Naskia (Audio Video)
Views: 18963 AFROACCESS